Jana usiku dunia ilishuhudia utoaji wa tuzo za BET 2014 ambapo wasanii wa Afrika pia waliwakilisha akiwemo Diamond Platinumz aliyeipeperusha bendera ya Tanzania.
Davido alitangazwa mapema kuwa mshindi katika kipengele cha African Act/Best International Act (Africa) kilichokuwa kinawaniwa na wasanii wengine wakubwa Afrika akiwemo Diamond Platinumz, Mafikizolo, Sarkodie, Tiwa Savage na Toofan.
Beyonce Knowles ndiye aliyeng’ara zaidi katika tuzo hizo baada ya kuondoka na tuzo tatu muhimu ambazo ni Best Female R&B/Pop Artist, Best Collaboration (Drunk In Love f/ JAY) na Best Fandemonium. Ingawa hakuwepo Live, Beyonce na Jay Z Waliperform katika tuzo hizo kwa kurushwa kipande cha video wakiperform Partition na Jay Z kwenye ‘On The Run Tour’.
Mkenya Lupita Nyong’o alizidi kuiwakilisha vyema Kenya na alishinda tuzo ya muigizaji bora wa kike huku filamu ya 12 Years A Slave ikiibuka filamu bora (Best Movie).
Pharrell Williams pia alimfuata kwa kushinda tuzo mbili ambazo ni Video of the Year na Best Male R&B/Pop Artist. Na msanii mpya Augustin Alisina alishinda tuzo mbili pia (Best New Artist na Viewers’ Choice Award).
First Lady wa Young Money, Nicki Minaj aliendeleza ushindi kwa miaka 5 mfululizo akibeba tuzo ya msanii bora wa kike wa Hip Hop (Best Female Hip Hop Artist).
Hii ni orodha kamili ya washindi; BET Awards 2014
Best Female R&B/Pop Artist
Beyoncé
Beyoncé
Best Male R&B/Pop Artist
Pharrell Williams
Pharrell Williams
Best Group
Young Money
Young Money
Best Collaboration
Beyoncé f/ JAY Z – “Drunk In Love”
Beyoncé f/ JAY Z – “Drunk In Love”
Best Male Hip-Hop Artist
Drake
Drake
Best Female Hip-Hop Artist
Nicki Minaj
Nicki Minaj
Video of the Year
Pharrell Williams – “Happy”
Pharrell Williams – “Happy”
Video Director of the Year
Hype Williams
Hype Williams
Best New Artist
August Alsina
August Alsina
Best Gospel Artist
Tamela Mann
Tamela Mann
Best Actress
Lupita Nyong’o
Lupita Nyong’o
Best Actor
Chiwetel Ejiofor
Chiwetel Ejiofor
YoungStars Award
KeKe Palmer
KeKe Palmer
Best Movie
12 Years a Slave
12 Years a Slave
Subway Sportswoman of the Year
Serena Williams
Serena Williams
Subway Sportsman of the Year
Kevin Durant
Kevin Durant
Centric Award
Jhené Aiko – “The Worst”
Jhené Aiko – “The Worst”
Best International Act: Africa
Davido (Nigeria)
Davido (Nigeria)
Best International Act: UK
Krept & Konan
Krept & Konan
Coca-Cola Viewers’ Choice Award
August Alsina f/ Trinidad Jame$ – “I Luv This Sh*t”
August Alsina f/ Trinidad Jame$ – “I Luv This Sh*t”
Fandemonium
Beyoncé
Beyoncé
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!