Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , , » KWA MARA NYINGINEE TENAA APANDISHWA KIZIMBANII MWANARIADHAA OSCAR PISTORIUS.

KWA MARA NYINGINEE TENAA APANDISHWA KIZIMBANII MWANARIADHAA OSCAR PISTORIUS.

Written By Unknown on Monday, 30 June 2014 | Monday, June 30, 2014

Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius amepandishwa tena kizimbani kujibu kesi ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp katika siku ya Valentine, kesi ambayo iliahirishwa wiki sita zilizopita.
Pistorius amerudishwa mahakamani kueendelea na utetezi wake baada ya kuamriwa kuhudhuria kliniki ya akili chini ya uangalizi wa wataalamu wa magonjwa ya akili baada ya mawakili wanaomtetea kudai kuwa hakuwa sawa kiakili katika usiku aliompiga risasi mpenzi wake na kumuua.
Hata hivyo katika baada ya kurudishwa mahakamani hapo, ripoti imeeleza kuwa Pistorius hakuwa na tatizo lolote la akili katika usiku huo aliomuua Reeva.
Kesi yake inaendelea na kuoneshwa moja kwa moja na BBC.


TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi