Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , , » NDOTO ZA TIMU YA TAIFA YA BURUNDI INTAMBA MU RUGAMBA ZAINGILIWA NA GIZA.

NDOTO ZA TIMU YA TAIFA YA BURUNDI INTAMBA MU RUGAMBA ZAINGILIWA NA GIZA.

Written By Unknown on Tuesday, 3 June 2014 | Tuesday, June 03, 2014

Kwa yule wote mrundi anae penda soka la Burundi zaidi na zaidi ikiwa fikra zake ziko kwa timu ya taifa ambayo kwa muda mfupi ilikuwa imenza kujirejeshea uwaminifu na kujiongezea mashabiki wengi baada tu ya mabadiliko ya uwongozi wa shirikisho la soka la Burundi kubadilika kutoka kwenye mikono ya mwanamkee nakushikiliwaa na mzee wa Kazi anae julikana kwa jina la Muheshimiwa Reverien Ndikuriyo.
Swala la kila mchezaji wote ambae ikiwa ana aminikaa kuwa ni mrundi kwa huyu Mzee sikitu kigumuu ukitaka uwe uko wapi popote pale dunianii yeye yupo tayari kupanda ndege na kukutaa zaidi na kuku zungumzisha nakukuonesha umuhimu wa kuja kuichezea timu ya taifaa.
Siasa ya Muheshimiwa huyo ndiyo ilio anza kuleta matumaini mazuri kwa raia wa Burundi ambao myaka kadhaa walikuwa na kiu cha kushuhudia sokaa nzuri uwanjaniii baada yakuwa wakiona timu zingine zikisonga mbele ila swala la kwanini timu ya Burundi.

Mtangazaji MH Ismail Niyonkuru na MH Reverien
Kikosi cha timu ya taifa ya Burundi kilionekaana kuanza kuimarikaa kwa pande zote ikiwa kuanzia kwa goli kipa kwenda kwa ma defendaa kusogea mbele hata kufikia kwa washambuliajii hiyo ilichangiwa na palee wakalii kutoka pande zote za dunia walipo kuwa wanaanza kukubali wito wa kiongozi huyo.
Burundii hivi karibuni ilikuwa kwenye michuano ya CHAN kwa mara ya kwanza na iliweza kuonesha mpira mzuri kwa kila mshuhudiaji wa mechi zote ilizo zichezaa huku ikiwa timu yenye wachezajii wenye umri mndogo ila wanao sukumaa kabumbuu nzuri yakuburudishaa.
Baadaa ya Burundi kuondolewa na DR Congo na ikawa njia nzuri yakuanza kujipanga kwenye mechi zijazo ambazo ni mechi za kufuzu kwenye makundii ambayo ilikuwa ni mwanzo wa njia yakuwezesha kuelekea kwenye kombe la AFCON kule Morocco mwaka kesho.
Ila ndoto za Burundi zilianza kuingiliwa na gizaa baada ya timu hiyo kushindwaa kufanya vyemaa kwenye match ya awali ambapo walikuwaa walipangiwa kukutana na Botswana kama mechi yao ya kwanza,mechi ya awali ilichezwa kwenye uwanja wa mwana wa mfalme Louis Rwagasore,Burundi ilishindwaa kwenye dakikaa 90 kufanya vyemaa nakumalizaa dakika hizo kwa sare ya 0 kwa 0 na hao wa Botswana.
Lakini haikuwa mwisho wa Intamba ila iikawa wiki mbili baadae walipashwa kuelekea Botswana kwenye match ya marudio kwenye wiki hizo ilikuwa time nzuri ya Intamba kujikosowa kwa makosa yaliyo tokea kwenye match ya awali na yasiweze kurejea tena kwenye match ya marudio.
Mungu aliwawezesha timu ikawa salama baada ya wiki hizo mbili na wakaelekea huko salama na vile kikosi hicho kwenye match ya awali hawakuwa na yule ambae ametokea kuwa kama mtu muhimu yani tegemeo kwenye timu ya taifa ambae ni Saido Ntibazonkiza baada ya kuwa eti timu yake anayo ichezea ilikuwa na match na hivyo kuweza kumjia vigumu kuja kwenye hiyo match ya awal ila akawa mwema kwa kutowa ahadi kwa warundi kuwa kwenye match ya marudio atakuwepo pamoja na wenzie na mwishowe ikawa hivo.

Huyo wa cheni shingoni ndo Fere alieanguka na kusababisha Botswana kupata ushindi
Jumapili ndipo Burundi ilikuwa inahitajikaa alakulihali iweze basi kutoka sare iwe ya bila bila iwe ya moja moja iwe ya aina yoyote ingekuwaa sawa kwa timu ya Burundi kama wangeshindwaa basi.
Ila sivyo ilivyo kuwa na sare ya yoyote ile ilishindikana na hadi dakika ya 11 za kipindi cha pili baada yakujikaza kwenye kipindi cha kwanza kutoka sare ya 0 kwa 0 ndipo nyavu za Burundi zilipo tetemeshwa baada ya defende wa Burundi kushindwaa kumziwia nambari 9 wa Botswana aitwae Joel na kisha kusaliya yeye macho kwa macho na Goli kipa ajulikanae kwa jina la Arakaza Mc Arthur ambae inasemekana kwenye match hiyo alichangia kwa kiasi kikubwa kwa kuokowa ma bao ambayo wengi hawakuwa wanategemea kama anaweza kuyaokowaa.

Nahayo Valery na mtu wake wa nguvu huko Botswana
Baada ya Burundi kushindwaa kufanya powa kwenye match hiyo hatimaye nahodha wa timuya taifa ambae warundi wengi walikuwa waki walalamikia viongozi wa FFB kuwaa Burundi isiwe ikisumbuka hata kumuita na hata akiwaa anajileta mwenyewe kwa hiyari yake basi aweze kuwa akiwekwaa njee kutokana eti kuwa kiwango chakee kimeshukaa kwa kiasi kikubwa huku ikichangia na mwili wake kunenepa nenepa bila kujitambuwa baada yakutoka kwenye ya South Africa na kuelekea Ubelgiji ametangaza kujiondowa kwenye timu ya taifa.
 
Kama haukubahatika kujionea vile bao la Botswana lilivyo fungwa dhidi ya Burundu baada ya beki wa mwisho Fere kushindwaa kumziwia mshambuliajii wa Botswana na kujifungia kiulaini ndo hili hapa:




TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi