Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » BAADA TU YA MECHI KUKAMILIKA NAKUJIKUTA AKIOGA KWENYE MVUWA YA MABAO TAKRIBANI 7 KWA 1 HIKI NDICHO ALICHO KISEMA KOCHA WA BRAZIL.

BAADA TU YA MECHI KUKAMILIKA NAKUJIKUTA AKIOGA KWENYE MVUWA YA MABAO TAKRIBANI 7 KWA 1 HIKI NDICHO ALICHO KISEMA KOCHA WA BRAZIL.

Written By Unknown on Wednesday, 9 July 2014 | Wednesday, July 09, 2014

Hakuna aliye kuwa na hizi ndoto kuwa Brazil wangeweza kuogeshwa kwenye ile mvuwa ya mabao ya jana usiku kwenye uwanja wao wa Maracana mbele ya wake zao,washemeji zao,wa mama wakwe zao,wa dada zao,wazazi wao na bila kusahau mbele ya wachumba zao.
Wengi wenye busara waliamini kutoka kunawezekana ila kwa kukandamizwaa bao 7 hazikuwepo hizo fikira.
Luis Felipe Scolari hapa akiwambia wachezaji wakee wajikaze zisifike 8 baada yakuwa wamesha chapwa 7
"Ni wakati mbaya zaidi kuwahi kutokea katika kazi yangu ya ukocha na siku mbaya zaidi katika maisha yangu ya soka. Lakini maisha yanaendelea. Nani anawajibika kwa matokeo haya? Ni mimi, ni mimi. Lawama za matokeo haya mabaya zinaweza kutuhusisha wote, lakini mtu aliyeamua timu ya kucheza na mbinu nilikuwa mimi.
Lilikuwa chaguo langu.Tulijitahidi kufanya kila tuwezalo, tulicheza kwa kiwango chetu cha mwisho-lakini tumeishia dhidi ya timu kubwa ya Ujerumani. Hatukukata tamaa na kurudi nyuma. Tuliparaganyika na kupaniki baada ya kufungwa bao la kwanza na kila kitu kiliharibikia hapo. Hata Ujerumani hawawezi kuelezea ilitokeaje-lakini ni kwasababu ya ujuzi wao na unatakiwa kuheshimu hilo.
Tunatakiwa kujiunza jinsi ya kukabiliana nalo. Ujumbe wangu kwa watu wa Brazil ni huu. Tafadhali watusamehe kwa kiwango hiki. Ninaomba radhi kwasababu hatujaweza kufika fainali-na tutajitahidi kushinda mechi ya nafasi ya tatu. Bado tuna sababu ya kucheza.”
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi