Huu wimbo hauzungumzii mapenzi bali wazungumzia maswala ya jamii hususani wale wanao taka kujifanya ni wa Mungu,wakikukatia siku za kuishii,wakijaribu kupigana wakitaka kukutega mitegoo ili ufeli,wakijaribu kukuwekea sumu ili ufe,wakikesha wakitafuna meno wakiomba ufee ila Mungu Baba bado hajakutowa eko mikona,mwisho wa siku jitihada zao zote zaangukia puwaa.
Home »
gossip
,
news
,
udaku
,
video
» BAADA YA MOT DE PASSE KUFANYA VIZURI ZAIDI KUANZIA MWANZONI MWA MWAKA HUU,BASI HII NI KAZI NYINGINE KUBWA ZAIDI TENA KUTOKA KWA MWANAMUZIKI YOYA.
BAADA YA MOT DE PASSE KUFANYA VIZURI ZAIDI KUANZIA MWANZONI MWA MWAKA HUU,BASI HII NI KAZI NYINGINE KUBWA ZAIDI TENA KUTOKA KWA MWANAMUZIKI YOYA.
Written By Unknown on Monday, 28 July 2014 | Monday, July 28, 2014
Huu wimbo hauzungumzii mapenzi bali wazungumzia maswala ya jamii hususani wale wanao taka kujifanya ni wa Mungu,wakikukatia siku za kuishii,wakijaribu kupigana wakitaka kukutega mitegoo ili ufeli,wakijaribu kukuwekea sumu ili ufe,wakikesha wakitafuna meno wakiomba ufee ila Mungu Baba bado hajakutowa eko mikona,mwisho wa siku jitihada zao zote zaangukia puwaa.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!