Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » » BINAMU WA RAIS WA AFGHANISTAN AUWAWA NA MTU ALIYEKUWA AMEVALIA BOMU KWA SIRI.

BINAMU WA RAIS WA AFGHANISTAN AUWAWA NA MTU ALIYEKUWA AMEVALIA BOMU KWA SIRI.

Written By Unknown on Tuesday, 29 July 2014 | Tuesday, July 29, 2014

Mtu aliyekuwa amevaa bomu kwa siri amemuua ndugu wa rais wa Afghanistan, Hamid Karzai kusini mwa jiji la Kandahar.
Maafisa wameelezaa kuwa Hashmat Karzai alikuwa anapokea wageni katika nyumba yake walioleta salam za Eid, ndipo mtu huyo alipojilipua na kumuua yeye pia.
Ndugu huyo wa rais Hamid anaefahamika kwa jina la Hashmat Karzai alikuwa meneja kampeni wa Ashraf Ghani ambaye ni mmoja kati wagombea wawili wa urais wanaopewa nafasi kubwa ya kukikalia kiti cha Hamid Karzai baada ya uchaguzi.
Hakuna kundi lolote lilidai kuhusika na mauaji hayo. Kundi la Taliba limekuwa likijihusisha na mauaji katika jiji hilo wakati ambapo wakielekea kwenye uchaguzi wa rais.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi