Ukitizama kiwango ambacho anacho huu mchezajii na ukilinganisha na viwango ambavyo tuliona vya wachezajii wa kikosi cha Brazil hususani kwenye safu ya ushambuliajii,ukianzia kwa akina Fred,Hulk na wengineo basi huyu ni babukubwa yao nambalii kwa mfano wa Afrika na ulaya.
Jitizamie mwenyewe hii video yenye mchanganyiko wa michezo kadhaa ya huyu kijanaa.
Jitizamie mwenyewe hii video yenye mchanganyiko wa michezo kadhaa ya huyu kijanaa.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!