Huyu jamaa anajulikana kwa jina la Issa Jamali ni raia wa Burundii mwenye asili ya kiarabu arabuu,huyu jamaa ana sifa zakee ukilinganisha na wanamuziki wengine wa Burundii ukiendaa kwa uwandishii usimchezeyii hana mpinzanii,ukiendaa kwa upangiliaji yani ku Direct usimsogelee sababu atakuaribuu,tukienda kiheshima,upolee na uchangamfuu huyu jama ni nambaa ya juu.
Pia ni mwanamuziki mwenye sauti ambayo si yakukopi wala kutengenezewaa.
Kwa sasa anajulikana kwa jina la SIBOMANA,hilo ndo jina lake jipya kwa sasa,jina hili limekujaa baada video yakee ya wimbo wake wa SIBOMANA kumfurahishaa kwa hali ya juu mwana habari muheshimiwa Ismail Niyonkuru,na amelipewa na mwanahabari huyoo huyoo.
Sibomana Jamali Yoya kuanzia leo ukimuita anakuitikaa tena kwa sauti kubwaa.
Kama haujaitazama video yakee ya Sibomana basi hii hapa:

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!