Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , , » EXCLUSIF:HIVI NDIVYO ILIVYO KUWA KWA MWANAMUZIKI HUYU WA BURUNDI BAADA YA SALA YA IDI.

EXCLUSIF:HIVI NDIVYO ILIVYO KUWA KWA MWANAMUZIKI HUYU WA BURUNDI BAADA YA SALA YA IDI.

Written By Unknown on Monday, 28 July 2014 | Monday, July 28, 2014

Moja mwa siku muhimu kwa waislam,basi siku kuu ya Idi ni moja wapo,ambapo hii leo waislam wa Burundi na waabadhi ya nchi kadhaa duniani wameungana kwa pamoja kwa kusheherekea siku hiyi baada ya mwezi mzima wa mafungo.
Wasanii kadha walikuwepo kwenye uwanja huo mkubwa wa Jabe ambao ulikuwa umehudhuriwa na mamia ya waislam.
Moja ya wasanii hao ni Mwanamuziki na manaja mkuu wa Kampuni ya GOLDEN STAR ENTERTAINMENT ambae ni Mpawenimana Habib ama Kook-k.

Hizi ni baadhi ya picha za baada ya sala:
Hapa Kook-k akiwa na machizi wake na mwanahabari Muheshimiwa Ismail Niyonkuru
Kwenye Interview na Mwanahabari Muheshimiwa Ismail  Niyonkuru
Kook-k hakuwa amekuja pekeake alikuwa pamoja na mama watoto wake mtarajiwa ambae ni Madame Titty Love na mimba yake masikinii.....
Kuanzia kulia hadi kusoto wa shati leupe hapo Mh Ismail Niyonkuru,akifatiwa na Titty kisha Botchum na mwisho Kook-k.
Hapa ni wakati kituo cha Tv cha Rema Tv kikitaka kufanya mahojiano na mwanamuziki huyu na waandishi habari wakiwa tayarii.
Wakiwa wameshaanza kazi yao waandishi,mbele Camera maswali yakianzaa kwa Kook-k.
 
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi