Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , , » HUYU NDIE MWANAMUZIKI KUTOKA TANZANIA ALIYE WAPIGA CHINI WENGINE BAADA YAKUMZAWADIA MAMA YAKE GARI LENYE THAMANI YA ZAIDI YA 38 MILLIONI.

HUYU NDIE MWANAMUZIKI KUTOKA TANZANIA ALIYE WAPIGA CHINI WENGINE BAADA YAKUMZAWADIA MAMA YAKE GARI LENYE THAMANI YA ZAIDI YA 38 MILLIONI.

Written By Unknown on Tuesday, 8 July 2014 | Tuesday, July 08, 2014

Ingawa mwanamuziki Diamond kutoka nchini Tanzania hayupo mwake lakini hakungoja mpaka arudi ndipo akabidhi zawadi hii badala yake alichokifanya ni mara baada ya kukamilisha kila kitu kinachoihusu gari hii Diamond Platnumz aliwapatia mameneja wake kwa ajili ya kuiwasilisha kwa mama yake.
Ni Toyota Lexus New Model ambapo Babu Tale amesema imegaharimi milioni 38.1 ambapomilioni 35 imetumika kulinunulia gari hilo mpaka kuingia Tanzania na Milion 3.1 imetumika kulipamba na kuweka Music System pamoja na seat Cover.
Zawadi hii ameitoa Diamond kwa mama yake kama zawadi kwa ajili ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa kwa mama yake ambaye amesema ametimiza miaka 55, mama yake amesema hakutegemea zawadi hii na anamuombea mwanae kwa Mungu afanikiwe zaidi.

Baada ya kufuturu Meneja wa Diamond Babu Tale alitangaza utaratibu wa kuzindua kwanza video mbili za Diamond kwa watu waliokuwepo hapo kisha utaratibu mwingine ukaendelea ikiwemo kumuimbia mama yake Diamond kisha kukabidhiwa gari yake hiyo.

Hizi ni picha zaidi za sherehe hiyo ya hapo jana nyumbani kwa Diamond:

 
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi