Diamond
Platnums amedondosha video kwa mara moja zote zikiwa zimetengenezwa na ku
recordiwa nje ya nchi ya Tanzania.Hiyo jana ilikuwa tarehe tarehe 7/7 ni siku ambayo alizaliwa
mama yake mzazi Diamond na ili kusherehekea siku hio ya kumbukumbuku
nzuri kwake na familia yake, Diamond ameamua kuachia video hizo.
Moja mwa video hizo ni ile ya Video ya
mdogo mdogo ambayo imetengenezewa huko South Africa,na imemgharimu dola 40,000
ambayo ni sawa na pesa za Burundi milioni 67,200,000.Video imefanyika huko South Africa
na yule Director mahiri anae julikana kwa jina la Godfather.Na video
ya wimbo wake na Iyanya "Mdogo mdogo" iliyotengenezwa na kurekodiwa
London imemgharimu pia dola 40,000 nakutengeneza jumla ya shilingi
milioni 134,400,000.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!