Q-boy akila zake pozi baada ya mahojiano kwenye Radio Rema Fm Bujumbura |
Q Boy ambae ni rafiki wa karibu na mwanamuziki Diamond na sasa wamekuwa kama ndugu,fahamu kuwa Diamond kwa kumpendaa saana na kumuamini saana Q Boy inasemekana hawezi kufanya jambo bila yakumshirikisha Q Boy.
Pia wengi mnafahamu kuwa Q Boy maikazi yake yapo kwa Diamond yani wanaishi pamoja japo kila mtu na chumba chake huko Dar es Salaam Tanzania.
Q Boy ameyaandika hayo hiyo jana ambapo ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa mama yake na Diamond huku akiyaandika hayo hayupo Tanzania yupo zake kule South Africa kikazi ambapo inasemekana yupo ana rikodi audio kadhaa ambazo inasemekana na video atatoka huko huko ametengeneza ya Song ambazo atakuwa amerikodi pia Diamond na yeye hayupo Tanzania yupo zake Marekanii kikazii.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!