Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , , » HUYU NDO MWANAMUZIKI KUTOKA MAREKANI ALIYE JICHORA TATTOO KWA MAANDISHI YA KIARABU YENYE UJUMBE WA MAPENZI.

HUYU NDO MWANAMUZIKI KUTOKA MAREKANI ALIYE JICHORA TATTOO KWA MAANDISHI YA KIARABU YENYE UJUMBE WA MAPENZI.

Written By Unknown on Thursday, 17 July 2014 | Thursday, July 17, 2014

Mwimbaji na muigizaji wa kike, Selena Gomez ameamua kutumia mwili wake kuweka ujumbe wa mapenzi kwa lugha ya kiarabu kwa kujichora tattoo mpya.
Mrembo huyo ambaye ni mpenzi wa Justin Bieber amepost picha kwenye Instagram Jumatano, July 16 ikionesha tattoo iliyochorwa upande wa kulia juu kidogo ya mgongo ikiwa na ujumbe wa kiarabu uliotafsiriwa kuwa ni ‘Love Yourself’, yaani Jipende.
Mchoraji wa tattoo hiyo pia alipost picha hiyona kuandika ‘Little gift for my friend @selenagomez”.


 
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi