Home »
majuu
,
news
,
photo
» WENGI WATOKAPO JELA HUWA WAKICHAKAA ILA SI KWA MWANAMUZIKI HUYU WA MAREKANII YEYE NI TAFAUTI.
WENGI WATOKAPO JELA HUWA WAKICHAKAA ILA SI KWA MWANAMUZIKI HUYU WA MAREKANII YEYE NI TAFAUTI.
Baada ya kutoka jela, Chris alioanekana kubadilika umbo na kunenepa kiasi cha wengi kuhisi aliishi maisha mazuri akiwa jela.
Mwimbaji huyo wa New Flame ameonekana kuendeleza mabadiliko kwa
kutengeneza mtindo mpya wa nywele na kuzitoa rangi za awali zilizokuwa
kichwani kwake.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!