Familia
ya Marehemu Mzee Ramadhani Kiza ambayo anatokea mwanamuziki Ramadhani
Kiza alimaarufu kama Dj Pro,imo kwenye furahaa kubwa baada ya mke wake
rapa Dj Pro Safiya Ally kujifunguwa.
Ilikuwa
ikisubiriwa kwa hamu kubwa na tayari wenye kuhisi hisia zilikuwa
zimeanza kuhisi kuwa hatozodisha mwezii huu wa August bila hajajifunguwa
kwa kuwa eti ujauzito wake ulikuwa umesha kuwa mkubwa.
Mapema jana adhuhuri ndipo taarifa zilianza kutanda kuwa mke wa Rapa huyu amepelekwa hospitalini kujifunguwa.
Na masaa machache baadae taarifa tayari zilikuwa zimeanza kupenyeza kuwa tayari mke wa mkali huyo wa "Katoto Rmx" amejifunguwa.
Bila
kuchelewa mtoto huyo aliweza kupangwa jina haraka haraka na baba yake
mzazi ambae ni Dj Pro,vile mkali huyu wa rap nchini Burundi ni mwenye
mapenzi mengi na mama yake mzazi "Mama VIP" na vile historia ya ndani
kwa mkali huyu inasemekana kuwa hakuwai kupata malezi ya baba yake kwa
kuwa alifariki akiwa bado mndogo,hapo ilimbidii ambatize mtoto wake huyo
wa kwanza jina la Mama yake mzazi kwa kuwa ni mtoto wa kike.
Huyu hapa mtoto wakike wa kwanza wa Rapa Dj Pro anaitwa Fitina ama Fifi. |
Alipo
zungumza na mtandao wako wa habari wa www.ismailniyonkuru.info DJ Pro
alifafanuwa kuwa kama mke wake huyo Safiya Ally angelimzal mtoto wa
kiume basi angelimpa jina la Baba ake ambae ni Ramadhan Kiza ambalo ndo
jina lake mwenyewe rapa huyo.
Furaha
hiyo ya familiya ya Hit Meker huyo wa "Touch me" imeongezeka kwa ile ya
baada ya hivi karibuni Video ya track yake ya "Katoto Rmx" kuonekana
kwenye kituo cha Tv kikubwa cha Wafaransa cha TRACE URBAN.
Hii ni picha ya ukumbusho wa ndoa yao,myaka takribani minne iliyo pita |
Tungependa
ufahamu kuwa ndowa ya mkali huyu DJ Pro na mke wake Safiya Ally
ilifungwa toka mwaka wa 2010 ikiwa imetimiza sasa myaka Minne(4 years)
na mtoto huyu Fitina ama Fifi kwa kifupi ndo mtoto wao wakwanza kwa baba
na mama na ndowa hii ilichelewa kupata mtoto kutokana na rapa huyu si
mwenye maikazi yake nchini Burundi ni mwenye masafari kila wakati ya nje
ya nchi ya Burundii.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!