Kila siku baba ni baba tu na katu huwezi badilisha pia kazi yake muhimu ni kuijali familia kama baba mkuu wa familia.
Ma star wengi kama hawajaowa mara nyingi huwa ni mara kidogo kuwaona nyumbanii kwao sababu kila wakati wanakuwa zao kwenye mambo yakujirusha,ila akishaowa anakuwa mtu wa nyumbanii kabisa,hayo tuliyaona kwa baadhi ya wasanii wakubwa dunianii na kwa Rapa huyu yeye sasa ni zaidi.
Baada yakutoka huko Afrika ya kusinii myaka kadha iliyo pita amekuwa mwenye mapenzi zaidi na mke wake ambae ni Safia Ally.
Na vile mke wake nimvumilivu ambae aliudhihirisha uvumilivu wake kwa kumsubiria mumewee kwa muda mrefu na kuilinda ndoa yakee vizuri bila dosari hadi mume wake ambae ni Rapa Dj Pro alipo rejea nchini Burundii.
Kwa mtazamo wa karibu kwa mujibu wa wataalamu wa mambo wamebaini kuwa kuzaliwa kwa mtoto huyo ambae ni Fitina ama Fifi Pro ni zawadi ya mke wake aliyo kuwa anamuandalia kumpa mume wake huyo,kwa kuwa habari za chini ya kapeti zimepenya kuwa mimba ya huyo mtoto inasemekana iilingia siku chache baada ya rapa huyo kuwasili yani inaoenekana mke wake huyo alikuwa amesha kuwa tayari akimsubiri tu mume wake.
Pia tungependa ufahamu kuwa nikitambo saana mkali huyo wa Katoto Remix alikuwa akihitaji na yeye kuitwa baba.
Swali kuu ambalo wachambuzi wanajiuliza,baada ya mke wake kumzawadia mumewe ambae ni Rapa Dj Pro zawadi hiyo ya mtoto wa kike ambae kashapewa jina la Fitina,je,yeye atamzawadia ninii mke wakee kama njia moja wapo yakuonesha shukuranii kwa mke wakee?

Fitina alimaarufu Fifi Pro. |

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!