Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , , » HALI YA KIAFYA YA MTANGAZAJI MAARUFU WA RADIO RSF BONESHA MZEE BOWAZ,INAENDELEA VIZURI.

HALI YA KIAFYA YA MTANGAZAJI MAARUFU WA RADIO RSF BONESHA MZEE BOWAZ,INAENDELEA VIZURI.

Written By Unknown on Saturday, 23 August 2014 | Saturday, August 23, 2014

Hii leo ametimiza siku 5 akiwa amelazwa hospitalini,Bowaz alianguka ghafla nyumbani kwake nakuwaisha hadi hospital huku bila kujuwa chechote kutokana na afya yake ilikuwa si nzuri.
Inasemekana walipo mfikisha hapo hospitalini aliweza kuanguka.
Bowaz ambae ni mtangazaji wa Radio Bonesha Fm huku akiwa mhariri wa kipindi cha Mahaba na East Africa Melody.
Kwa mujibu wa daktari mkuu aliweza kutupasha kuwa afya ya Bowaz inaendelea vizuri na si mbali kurejea kwenye hali yake ya kawaidaa yani afya bora.
Serumu za kwanza alizo wekwaa alipo fikishwa hospitalinii hapo...
Hapa ni wakati Mwanamuzikii Happy Famba alipo wasili hospitalini kumjulia hali mtangazaji Bowaz...wakitania taniaaa....





 
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi