Bunge jipya la Libya limeuomba rasmi Umoja wa Mataifa uisaidie
kukabiliana na machafuko. Bunge la Libya limeutaka Umoja wa Mataifa
uingilie kijeshi ili kuwalinda raia na kurejesha utulivu nchini humo.
Bunge la Libya pia limepiga kura ili kuwasambaratisha waasi, na kuwapa
muda wa hadi mwishoni wa mwaka huu kujiunga na jeshi. Hatua hiyo
imechukuliwa ili kuhitimisha machafuko nchini Libya.
Inafaa kukumbusha hapa kuwa, mji mkuu wa Libya, Tripoli umegeuka kitovu cha mashambulizi kati ya makundi hasimu ya wanamgambo, ambao wameweka ngome yao katika uwanja wa ndege wa mji huo uliofungwa tangu mgogoro uanze Julai 13 mwaka huu.
Kwa upande mwingine Jenerali msaatafu Khalifa Haftar amenzisha mashambulio mashariki mwa Libya, akitaka kuwasambaratisha wanamgambo.

0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!