Kikosi cha Real Madrid kilichotwaa Kombe la Super Cup dhidi ya Sevilla
ndiyo ghali zaidi duniani.
Kikosi hicho kilikuwa na thamani ya jumla ya paundi milioni 364 ambazo ni
nyingi zaidi na hakuna kikosi kilichowahi kupangwa na kuwa ghali namna hiyo.
Thamani hiyo ya fedha ni kwa maana ya uhamisho na waliokifanya kipae
zaidi na kuwa ghali ni Gareth Bare (pauni 86m), Ronaldo (pauni 80m), Kroos
(pauni 20m), James (pauni 63m) na wengine ambao walikuwepo.
Kikosi hicho kilishinda mabao 2-0 na kubeba ubingwa huo ambao
unaiongezea Madrid idadi ya makombe ya Ulaya.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!