Klabu ya Barcelona ya Uhispania ilianza vyema kwenye ligi kuu ya nchini humo ambayo inajulikana kwa jina la La Liga kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Elche Uwanja wa Camp Nou usiku wa kuamkia leo.
Katika
mchezo huo, kiungo wa Barca Javier Mascherano alitolewa nje kwa kadi
nyekundu kipindi cha kwanza,
Nyota
wa Argentina, Lionel Messi alifunga bao lake la pili na ambalo lilikamilisha bao la tatu la
kuhitimisha ushindi wa Barca baada ya jitihada binafsi kipindi cha pili.
Paka mweusi alikatiza Uwanja wa Camp Nou mwanzoni tu mwa mchezo na kusababisha mechi isimame kwa muda ili aondoke.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!