Headlines News :
USWAZI MAGAZINE
Home » , , , » VAZI LA ROBO UCHI LA KIM KARDASHIAN KIPENZI CHA KANY WEST LAMTOWA UKONDA MWANAMUZIKI USHER RAYMOND.

VAZI LA ROBO UCHI LA KIM KARDASHIAN KIPENZI CHA KANY WEST LAMTOWA UKONDA MWANAMUZIKI USHER RAYMOND.

Written By Unknown on Monday, 25 August 2014 | Monday, August 25, 2014


Kivazi cha Kim Kardashian kinachoonesha mwili wake katika tuzo za MTV VMA 2014 zilizofanyika usiku wa kuamkia leo kilimtega mwanamuzi Usher Raymond ambaye alishindwa kufanya siri.
Usher alishindwa kuficha ama kuangalia kwa kuibia baada ya Kim K kumpita kwenye red carpet na akaamua kugeuka tena bila kujali paparazzi waliokuwa mbele yake.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
Share Na Jamaa Yako :

0 comments:

Toa Maoni yako

Tuambie Unafikilia Nini..!

Followers

Facebook Fan Page

Tukutane Twitter

Walio Tembelea Website Hii

Advertise

Smiley face
 
Support : Ismail Niyonkuru | Gody Godwin Unstoppable
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. Ahabona 24 - Haki Zote Zimehifadhiwa
Template Design by Gody Godwin Unstoppable Published by Uswazi