Uncle B kama jina lake la kikazi amezungumza na mtandao wako wa habari wa www.ismailniyonkuru.info kuwa kwa sasa haliake inaendelea vizuri japo hapo awali haikuwa powa ukitazama na vile alivyo letwa bila kujitambuwa.
Jana mwanamuziki Happy Famba ameonesha moyo wake wa usamaria wema kwa kujifunguwa moja kwa kile anacho faanikiwa yani pesa nakuingia kwenye super market kubwa hapa jijini Bujumbura nakumuemelea mtangazaji huyo vyakula tafauti.
Happy Famba ambae ni mmoja kati ya wasanii wanao semwa vizuri na waandishi wa habari nchini Burundi tuache kwenye mambo ya muziki ila eti ni mtu anae juwa kuishi na watu na kamwe huwa hasahau wema na kamwe eti huyu mwanamuziki akiwa na mia tano basi ataichangia na wenzake hususani mwandishi wa habari kwake yeye anamuita mzazi wake wa kazi.
Uncle B alionekana kutowa shukurani nyingii kwa mwanamuziki huyo huku akimsihi kuzidisha bidii zake nakumuhakikishia kuwa atafika mbali.
Sisi kama wanafamilia ya www.ismailniyonkuru.info tunamtakia maombi kwa Mungu aweze kupona mtangazaji mwenzetu.
Na tunamuomba Mungu azidi kumlipa mwanamziki huyu azidi kumpa riziki kwa wingi amkinge na maaduwi.
Famba......God bless you.
Akisubiri kuhesabiliwa... |
Wakimuhesabilia sabilia,,, |
Hapa Famba akiemea emea... |
Bei ya bidhaa za kwanza... |
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!