Rihanna na Drake wamerudi tena kwenye vichwa vya habari
baada ya kuonekana wakiwa pamoja Griffin Night Club ya New York,
Jumapili usiku.
Wasanii hao wamezua hisia kuwa huenda wamerudiana tena hasa baada ya kuingia katika club hiyo kwa wakati mmoja, wakawa karibu na wakaondoka wote majira ya saa kumi alfajiri.
Hata hivyo, Drake na Rihanna waliwahi kuonekana katika hotel moja hivi karibuni baada ya kufanya show na kuperform ‘Take Care’ huku Rihanna akioenesha uchokozi wa hali ya juu.
Habari hizi zinakuja ikiwa ni siku moja tu baada ya Chris Brown na Karrueche Tran kurusha uhusiano wao kama zamani.
Wasanii hao wamezua hisia kuwa huenda wamerudiana tena hasa baada ya kuingia katika club hiyo kwa wakati mmoja, wakawa karibu na wakaondoka wote majira ya saa kumi alfajiri.
Hata hivyo, Drake na Rihanna waliwahi kuonekana katika hotel moja hivi karibuni baada ya kufanya show na kuperform ‘Take Care’ huku Rihanna akioenesha uchokozi wa hali ya juu.
0 comments:
Toa Maoni yako
Tuambie Unafikilia Nini..!